Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst)
Mhe.George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Kamishna wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Mhe. Harold Nsekela
alipokuwa akiwatambulisha Wajumbe wapya wa Baraza la Maadili ya Viongozi waliofika
ofisini kwa Mhe. Waziri jijini Dodoma kujitambulisha.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst)
Mhe.George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la
Maadili ya Viongozi waliofika ofisini kwake jijini Dodoma kujitambulisha. Wa
kwanza kulia kwa Mhe. Waziri ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na wa kwanza
kushoto ni Mwenyeki wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Mhe.
Ibrahim Mipawa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...