Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam, Mkoa wa Dodoma, wakati
akiwasili katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, kuhudhuria Sala ya
Eid el Fitri, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua, baada ya sala ya Eid el Fitri,
katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, May 24, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waumini
wa Dini ya Kiislamu, waliyohudhuria katika ibada ya sala ya Eid el
Fitri, akiitikia dua, baada ya sala, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini
Dodoma, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya
sala ya Eid el Fitri, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, May 24,
2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...