Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala  Dkt. Daniel
Nkungu akizungumza na wadau  wa  maendeleo, leo  jijini Dar es salaam katika hafla ya kukabidhiwa Kizimba cha Taka  chenye thamani ya zaidi ya milioni 9.
ambapo amesema kizimba hicho kitasaidia kuzuia ifections.
Mwanzilishi wa Kikundi cha (WOMEN OF SUBSTANCE),Mercy
Mchechu kulia akizungumza na Michuzi Tv katika hafla ya kukabidhi  Kizimba cha Taka ambapo amesema  ujenzi wa kizimba hicho umegharimu zaidi ya milioni
9.
 
 Picha ya pamoja 
 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala  Dkt. Daniel Nkungu (kulia) akisisitiza jambo.
Muonekano wa kizimba cha Taka.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...