Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka askari Polisi kote nchini kufanyakazi kwa kuzingatia weledi bila kumuonea mtu yeyote na kuendelea kuwachukulia hatua kali watu wanaojihusisha na uhalifu wa kutumia silaha.


IGP Sirro amesema hayo leo akiwa mkoani Tabora ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo huku akiwataka kuhakikisha kuwa kila mtu anatimiza wajibu wake hasa tunapoelekea kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu sambamba na kuwachukulia hatua wale wasiotaka kufuata sheria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...