Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima, akizungumza kuhusu
sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT).
Kailima, amezungumza leo katika
Mkutano na waandishi wa habari
uliofanyika, jijini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (kushoto)
akizungumza kuhusu sababu za kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Chama cha Wafugaji Tanzania
(CCWT) kutokana na malalamiko mengi ya Wafugaji Tanzania kuwa Chama chao kina
Viongozi ambao hawapo kwa mujibu wa Katiba kutokana na muda wao kuisha.
Kailima, amezungumza leo katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika,
jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Magembe
Makoye.
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(Kushoto) akionyesha Katiba
ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) inayoelezea masharti ya namna mtu
anavyotakiwa kujiunga na uanachama wa Chama hicho, Katiba hiyo ilipitishwa na
wanachama wa Chama hicho 26 Oktoba 2013 katika Mkutano wao Mkuu uliofanyika
Jijini Dodoma. Kailima, amezungumza
katika Mkutano na waandishi wa
habari uliofanyika, Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji
Tanzania, Magembe Makoye.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Wafugaji Tanzania, Magembe Makoye (Kulia) akifafanua jambo
kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima
(Kushoto) walipokuwa katika Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika, jijini
Dodoma.
Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (Kushoto)
akionyesha Katiba ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) inayoelezea masharti ya
namna mtu anavyotakiwa kujiunga na uanachama wa Chama hicho, Katiba hiyo
ilipitishwa na wanachama wa Chama hicho 26 Oktoba 2013 katika Mkutano wao Mkuu
uliofanyika Jijini Dodoma. Kailima, amezungumza
katika Mkutano na waandishi wa
habari uliofanyika, Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wafugaji
Tanzania, Magembe Makoye.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...