Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiagana na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na
Viongozi mbali mbali baada ya kumalizika kwa sherehe za kulivunja
Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika Ukumbi wa Baraza hilo leo
Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (kushoto) Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Mhe,Omar Othman Makungu (kulia) wakimuangalia kwa pamoja Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulivunja Baraza
la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika sherehe zilizofanyika leo katika
Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]
20/06/2020.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa
hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar katika
Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar leo.[Picha na
Ikulu] 20/06/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati)
baada ya kumalizika kwa sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi
Zanzibar leo katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020.

Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid alipokuwa akimkabidhi zawadi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara
baada ya kutoa hutuba yake ya kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi
Zanzibar katika sherehe zilizofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza hilo
Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/06/2020. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi
wengine wakibadilishana mawazo mara baada ya kutoa hutuba yake ya
kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar, leo katika Ukumbi wa
Baraza hilo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]
20/06/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...