Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas akikagua moja ya banda la Mbwa wa Kunusa, ukaguzi huo ni moja ya kazi za ziara yake katika kikosi cha Mbwa na Farasi jijini Dar Es Salaam. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akimsikiliza Kamanda wa Kikosi cha Mbwa na Farasi ASP M.T.Kyariga, juu ya ufugaji pamoja na matunzo ya Farasi wakati wa ziara yake ya siku moja aliofanya kikosini hapo Kurasini jijini Dar es salaa.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa Kikosi cha Mbwa na Farasi ASP M.T.Kyariga pamoja na Maafisa na Wakaguzi wa kikosi cha Mbwa na Farasi jijini Dar Es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja. (PICHA NA JESHI LA POLISI)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...