Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda pamoja na timu
aliyoongozana nayo wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa
jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa
Jijini Dodoma.

Mhandisi wa
mifumo ya zima moto, Gaudence Kessy akitoa ufafanuzi wa masuala ya
ufungaji wa mifumo hiyo wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya
ziara ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw.
Tixon Nzunda.

Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda akitoa
majumuisho ya ziara yake katika Jengo la NEC kwa timu inayosimamia
ujenzi huo.

Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda akitoa maelekezo
kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi
(NEC) alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi huo Juni 18, 2020.

Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda akitoa maelekezo
kwa Msimamizi na Meneja wa Mradi wa Ujenzi kutoka Chuo kikuu cha Ardhi,
Godwin Maro wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa
jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo
la Njedengwa Dodoma Juni 18, 2020 unaosimamiwa na Kikosi cha SUMA JKT.

Msimamizi na
Meneja wa Mradi wa Ujenzi kutoka Chuo kikuu cha Ardhi, Godwin Maro
akimuonesha maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge)
Bw. Tixon Nzunda wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa ofisi hizo
zilizopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma Juni 18, 2020.

Mhandisi wa
mifumo ya zima moto, Gaudence Kessy akitoa ufafanuzi wa hatua za
ufungaji wa mifumo hiyo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri
Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda wakati wa ziara hiyo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...