


************************************
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wa
Chama Cha Mapinduzi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Komred Kheri
James amepasua ngome ya Upinzania katika Wilaya ya Rombo Mkoani
Kilimanjaro kwa Kupokea Viongozi mbalimbali wa Chama Hicho.
Viongozi walio pokelewa leo ni
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rombo ndg Athuman Mohammed Kimario
,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rombo Evarist Silayo Mgoyoni,na Madiwani
Simon Peter Marandu kata ya Mrire,Justina Maliangu Mkenda kata
kisale,Paul Adelaro ulimalya kata ya Aleni,Nicholaus Kimario kata ya
kitongo wamejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu katika ziara ya
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Kheri Denice James inayoendelea
Wilayani humo muda huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...