Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla akizungumza na wawakilishi wa wananchi, viongozi wa
mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido
wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa
Natron kikao kilichowahusisha

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta
leo jijini Arusha kabla ya kufanyika kwa kikao cha kujadili uanzishwaji
wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha
wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi
wa serikali wa wilaya ya Longido.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd
Kimanta akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi
Kigwangalla (kushoto) leo jijini Arusha kabla ya kuanza kwa kikao cha
kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao
kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la
Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji
wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha
wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi
wa serikali wa wilaya ya Longido.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akitoa ufafanuzi wa masuala
mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na
WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi,
viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya
Longido.

Mkuu wa wilaya ya Longido, Frank
Mwaisumbe akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori
la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa
wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa
wilaya ya Longido.

Mbunge wa Longido Dkt. Steven
Kiruswa akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la
Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa
wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa
wilaya ya Longido.

Baadhi ya washiriki wa kikao cha
kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao
wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya
Longido Joseph Sadira akizungumza wakati wa kikao cha kujadili
uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron leo jijini Arusha.

Katibu wa WWA ya ziwa Natron Ngena
Kandim Reketai akichangia wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa
Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron leo jijini Arusha.

Kaimu Kamishna wa
uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) akitoa ufafanuzi
wa masuala mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori
la Akiba na WMA ya Ziwa Natron.
Picha/ Aron Msigwa – WMU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...