EDMUND  LAWRENCE MUSHI
07/12/73 - 22/06/2015
Leo Tarehe 22/06/2020 Umetimiza Miaka Mitano tangu Umefariki Huko Houston-TX,USA.

Sisi Ndugu zako Umetuachia Huzuni na Pengo Ambalo Halitazibika Milele,Unakumbukwa Sana na Watoto Zako, Luis(Anwar) na Jermaine.

Unakumbukwa na Baba yako Mzazi Mzee Lawrence Mushi(Kimbori),Pia Unakumbukwa na Wadogo Zako Rudolf(Dofu), Gaudence, Fulgence, Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Dotto/Manka)na Mary(Mkakeni).


Unakumbukwa na Ukoo Wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na Ndugu,Jamaa na Marafiki zako Wote Pamoja na Wanajumuiya wa Tanzania Houston Community(THC)Houston-TX,USA.

  Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa 

na Jina Lake Lihimidiwe.
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...