Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete  wakitoa heshima baada ya kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza katika mazishi yaliyofanyika Gitega nchini Burundi, Juni 26, 2020. Wa pili kushoto ni Mama Salma Kikwete na wa Nne kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Jilly Elibariki Maleko.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...