Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati
ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni alipowasili katika
Ofisi ya DMDP Magomeni Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo
Juni 26,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na
Sekretarieti ya CCM. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa
wa Dar es Salaam.


Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na
Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni leo Juni 26,2020 alipokuwa
katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...