Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilaya
ya Kigamboni na Diwani wa Viti Maalim Bibi Stella Masanja baada ya
kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo
Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama
Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya
Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya
Somangile Gezaulole.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akimkabidhi Kadi ya CCM aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha
na Diwani Viti Maalum Wilaya ya Kigamboni Bibi Stella Masanja Baada ya
kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo
Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama
Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya
Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya
Somangile Gezaulole.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akionesha Kadi ya CCM kabla ya kumkabidhi aliyekuwa
Mwenyekiti wa Bavicha na Diwani Viti Maalum Wilaya ya Kigamboni Bibi
Stella Masanja Baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa
katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na
Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni
katika kata ya Somangile Gezaulole. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti
ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole leo Juni
22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa
Dar es salaam .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...