
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchegerwa na Mbunge wa Baraza
la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
Juni 15, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Mvomero, Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja
vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya
Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...