Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Abdallah Mtulia, kwenye
Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini
Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- MAGEUZI,
James Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akijadili jambo na Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Joseph Musukuma,
Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Buhingwe, Albert Ntabaliba Obama, kwenye
Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...