Mbunge wa Viti Maalum kupitia
CHADEMA, Latifa Chande akitamka bungeni kukihama chama hicho kwa kusema
anarejea nyumbani CCM Juni 15, 2020. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum
Grace Kiwelu na kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Risala
Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Latifa Chande
akitamka kukihama chama hicho kwa kusema anarejea nyumbani CCM, Bungeni
jijini Dodoma, Juni 15, 2020. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia
CHADEMA Grace Kiwelu . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Latifa Chande akifurahi baada ya kutamka kukihama chama hicho kwa kusema anarejea nyumbani CCM, Bungeni jijini Dodoma, Juni 15, 2020. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Grace Kiwelu na kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...