Shabiki wa Yanga akifanya minjonjo yake kushangilia Yanga kusawazisha bao dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu  uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma . Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Wana Yanga wakifurahia  bao la kusawazisha lililofungwa na Patrick Sibomana
 Bao la kuswazisha lililofungwa na Sibomana
 Wachezaji wa Yhanga wakishangilia
 Ni furaha iliyoje kwa wana Yanga hao wakiongozwa na mtoto anayepuliza katarumbeta
 Mashabiki wa JKT Tanzania, wengi wao wakiwa wapenzi wa Simba wakishangilia bao la kuongoza
 Kukuru kakara za kuwania mpira





 Wapenzi wa Simba wakiwa wameduwaa baada ya Sibomana wa Yanga kufunga bao la kusawazisha katika kipindi cha pili cha mchezo huo.
Sehemu ya umati wa wapenzi wa soka waliofika kushuhudia mtanange huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...