Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu
wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za
lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani
Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI
Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi
wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa
Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Bendi
ya JKT Makutopora ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya kufungua jengo la
Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI
Selemani Jafo, Waziri wa Ardhi William Lukuvi katika picha ya pamoja na
Wafanyakazi wa Wizara wa Ardhi mara baada ya kuweka jiwe la msingi
ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali
(Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada
ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla
ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11
Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za
lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani
Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja
vya Makao Makuu ya Ofisi za TARURA Mtumba mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na
viongozi wengine ili kumkumbuka Marehemu Pierre Nkururinza Rais wa
zamani wa Burudi aliyefariki juzi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi
mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu
ya TARURA mjini Dodoma.

Baadhi ya Makatibu Wakuu wakiwa katika hafla fupi ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

Baadhi ya Wafanyakazi wa Serikali
wakiwa katika viwanja vya Mtumba kwenye hafla ya ufunguzi wa Jengo la
Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha moja ya pikipiki
ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya
ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua
jingo la la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wafanyakazi
mbalimbali wa Serikali mara baada ya kufungua jingo la Ofisi za TARURA
mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya Maafisa Tarafa wa Wilaya Mbalimbali ambao
walikabidhiwa Pikipiki ili ziweze kuwasaidia katika kazi zao za kila
siku.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...