Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Jamii ya Kimasai katika Kijiji cha Parakuyo Kilosa mkoani Morogoro
wakati akielekea kwenye eneo la ujenzi wa Mahandaki ya Reli
yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la
Kilosa mkoani Morogoro.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Kimamba Kilosa mjini hawaonekani pichani wakati akielekea kwenda kuweka
jiwe la msindi ujenzi wa Mahandaki yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya
Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro. PICHA NA
IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...