Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai
 Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya kuvunjwa kwa Bunge la 11 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) Jijini Dodoma. Kuanzia Kulia ni Rais wa awamu wa pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya nne, Mhe. Dkt. Ghalib Mohamed Bilal
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (watano kushoto) katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu na Marais wastaafu. Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu, Marais wastaafu, Wenyeviti wa Bunge pamoja na Wabunge ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na wapili kulia ni Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...