Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini kwaya ya Chama cha Walimu
CWT katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi
mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi
wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi
mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi
wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi
mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi
wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi pamoja na waakilishi
mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi
wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni
2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...