Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi
Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la Msingi
Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme
Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi
wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Umeme Standard Gauge
katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi
Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi
Ujenzi wa Barabara ya Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Rudewa-Kilosa Km
24 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya
Mawaziri, wakuu wa Mikoa, viongozi mbalimbali, akikata utepe ili
kuzindua mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR
katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mawaziri, baadhi
ya Viongozi wa Serikali, katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa
Kampuni zinazojenga mradi wa Reli ya Kisasa SGR Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye handaki la
Reli ya Kisasa ya SGR lenye urefu wa Km 1.1 ambalo litapitisha treni
hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro.


Sehemu ya Handaki kubwa lenye
urefu wa Kilometa 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la
milima ya Kilosa mkoani Morogoro.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita ndani ya Handaki
kubwa lenye urefu wa kilometa 1.1 kulikagua mara baada ya kuweka jiwe la
msingi la miradi hiyo ya ujenzi Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kuweka kumbukumbu
kwenye ukuta wa Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki
hilo mkoani Kilosa mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya
Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki hilo mkoani
Kilosa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati
akitoka kwenye Handaki kubwa la Reli ya Kisasa mara baada ya kulikagua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri
wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe wakati akionesha sehemu sehemu
litakapojengwa daraja la kupitisha Reli katika Mto mkondoa Kilosa mkoani
Morogoro.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi
wa Kilosa wakati alipowasili katika eneo la ujenzi wa mradi wa
miundombinu ya Treni ya Kisasa ya umeme SGR pembezoni mwa mto Mkondoa
Kilosa mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...