Baadhi ya Wanachama wa CCM
wilayani Manyoni wakijaza fomu ya kumdhamini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh.
John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020.


Mwenyekiti wa CCM wilaya ya
Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda akizungumza na
baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni waliojitokeza kutaka
kumdhamini Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa
CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...