Na mwandshi wetu, Kigoma
SHIRIKA la umeme Tanesco kupitia idara ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma juu ya kuchangakia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali.
Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye mkoa huo wili hii imewafikia wanakijiji wa vijiji vya Kigoma ambapo baadhi ya wananchi wameishukuru serikali kwa miradi hii ya kuunganishiwa umeme wa bei nafuu kwani inachangia maendeleo ya kiuchumi.
Vijiji ambavyo tayari vimeshapatiwa Elimu ni Buhigwe Katundu, Kajana, Kinazi, Chankere, Bubango, Kizega, Kishanga, Munze na Mnanila. Kuunganisha umeme ni shilingi elfu 27,000 tu.
Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA.
Afisa masoko Makao Makuu, Bi. Neema Mbuja (kushoto) na Afisa huduma kwa wateja Emmanuel Matuba akitoa maelekezo ya umuhinu wa kuntumia umeme tayari UMETA
Picha ya pamoja ya wataalamu na wafanyakazi wa TANESCO na wananchi wa Kigoam baada ya kutoa elimu ya umeme.
Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA
Wakazi wa Kigoma vijijini wakipatiwa Elimu ya umeme
Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...