


Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akizungumza na Balozi wa Netherland nchini
Tanzania Jeroen Verheul (kushoto) leo jijini Dar es salaam kuhusu
utayari wa Tanzania kupokea watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo
Netherland wakati huu wa janga la Corona.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa
Netherland nchini Tanzania Jeroen Verheul (kushoto mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha mazungumzo kuhusu utayari wa Tanzania kupokea
watalii kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Netherland wakati huu wa janga la
Corona ) leo jijini Dar es salaam.



Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.
Hamisi Kigwangalla akifanya mahojiano maalum na Bw. Daniel Kijo,
mtangazaji na mwakilishi wa wa vituo mbalimbali vya Televisheni vya
Kimataifa vikiwemo CGTN, SABC NEWS,DW, ALJAZEERA na ITN leo jijini Dar
es salaam kuelezea mikakati na utayari wa Tanzania kupokea watalii
kutoka katika mataifa mbalimbali wakati huu wa janga la Corona.PICHA/Aron Msigwa – WMU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...