Waziri wa Maliasili na Utalii,
Mhe. Dkt Hamis Kigwangala akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya
Taifa Dkt. Noel Lwoga alipotembelea Makumbusho ya Taifa leo

Waziri wa Maliasili na Utalii
akitembea katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa kulia kwake ni Balozi
wa Finland nchini Tanzania Mhe. Riitta Swan, kushoto kwake ni Mkurugenzi
wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Achiles Bufure na nyuma yake ni
Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga.

Waziri wa Maliasili na Utalii,
Mhe. Dkt. Hamis Kigwangala akifurahia magari ya historia alipotembelea
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkurugenzi
Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga

Waziri wa Maliasili na Utalii,
Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla akipimwa joto wakati alipoingia Makumbusho
ya Taifa. Wanaotazama ni Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe Riitta
Swan na Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe
Dkt. Hamis Kigwangalla akitakasa mikono yake mara baada ya kuingia
Makumbusho ya Taifa na kushuhudia hatua zote za usalama dhidi ya ugonjwa
wa corona zikifuatwa na kujihakikishia kuwa Makumbusho ni Salama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...