Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimpa pole, Ramadhani Hamadi mkazi wa Dar es Salaam
aliyelazwa katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa wakati
alipotembelea Zahanati hiyo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi gari la kubeba wagonjwa, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim
Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa wilayani humo,
Juni 24, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa katika ziara ya kikazi
wilayani humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi ya
Nandagala wilayani Ruangwa, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoka katika gari la kubeba wagonjwa alilomkabidhi Mkuu wa wilaya ya
Ruangwa, Hashim Mgandilwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Luchelegwa
wilayani humo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...