

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen
Kagaigai akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya M ambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge
baada ya kumkaribisha kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya
Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...