Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Chifu Sylvester Yaredi, leo jumatano julai 15 akikabidhi fomu ya ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi kwa  Elizabeth Jackson,

BINTI MDOGO NA MJASILIAMALI  'Elizabeth Jackson' leo 15 Julai, amechukua fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

Elizabeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo, Chifu Sylvester

Elizabeth amesema amechukua uwamuzi wakuchukua fomu ya ubunge katika jimbo la ubungo ili kuunga mkono juhudi za Rais wetu John Pombe Magufuli nakuleta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...