Josephat Mwagala mgombea wa Ubunge jimbo la Mufindi Kusini Mkoani Iringa amesema Demokrasia,Haki na Usawa ndani ya CCM ndiyo sababu pekee ilichangia wananchi wajitokeze kwa wingi kuwania nafasmbalimbali ndani ya chama hicho mbalimbali katika uchaguzi uanaotarajia kufanyika October.

Mwagala ameyasema hayo leo Julai 16 mara bada ya kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Mufindi Kusini katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Mufindi.

Mwagala alieleza kuwa Chama cha Mapinduzi kimekuwa na mvuto kwa wananchi kwa kuweka uwazi na kutenda haki pamoja na kuondoa matabaka kwa kuweka usawa wa walionacho na wasionacho.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...