Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani
Kailima, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu
kukamilika kwa taratibu za kuwapata wagombea Viongozi wa Chama cha
Wafugaji Tanzania (CCWT) ngazi ya Taifa. Kailima amezungumza leo katika
Ofisi ndogo za Wizara hiyo, Jijini Dar es Salaam
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima,
akiwataja wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uongozi wa Chama cha
Wafugaji Tanzania (CCWT). Uchaguzi wa Viongozi hao unatarajia kufanyika
tarehe 19 Julai, 2020 utakaowezesha Wanachama kupata haki ya kushiriki
katika Mkutano huo Mkuu kuwachagua Viongozi wa Chama hicho ngazi ya
Taifa. Kailima amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za
Wizara hiyo, Jijini Dar es Salaam leo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...