Mapema leo Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, amewasili mkoani Iringa kwaajili ya ukaguzi wa utayari wa Askari mkoani humo katika hichi kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Mwenyekiti wa Karate Mkoa wa Iringa Hamidu akiwa katika mazoezi ya utayari na WP Yasinta wakimuonyesha Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, ambaye hayupo pichani wakati alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani humo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, aliesimama akiongea, Maafisa na Wakaguzi pamoja na Askari wa Mkoa wa Iringa baada ya kuwasili katika ukumbi wa Polisi Mess wa mkoani humo. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...