Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni
Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiongoza kikao kati ya
Menejimenti ya Wizara na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo
Julai 20,2020 Jijini Dodoma mara baada ya Chama hicho kuwasili katika
Wizara hiyo ambapo amewataka kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi
,Huku akisisitiza Serikali ni moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa
mgawanyo wa majukumu.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Ally
Possi.
Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasimimali Watu Bw.Benard Marceline
akizungumzia kuhusu muundo wa wa utumishi katika kikao cha Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu
wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi (Kulia),na Menejimenti ya Wizara na Chama
cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma mara
baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka
kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni
moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu.Kushoto
ni Bw.Rodney Thadeus Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari -MAELEZO
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi.Doreen
Sinare (kushoto) akijadiliana jambo na viongozi wa chama wakati wa
kikao cha Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ambaye
pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi na Menejimenti ya
Wizara pamoja na chama hicho leo Julai 20,2020 Jijini Dodoma, mara
baada ya Chama hicho kuwasili katika Wizara hiyo ambapo amewataka
kufanya kazi kwa ushirikiano na kasi zaidi ,Huku akisisitiza Serikali ni
moja hakuna mabadiliko yoyote isipokuwa mgawanyo wa majukumu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...