Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto) akikabidhiwa Nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda ikiwa ni makabidhiano rasmi ya ofisi yaliyofanyika katika ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zilizopo Mtumba Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto) akisaini kitabu cha makabidhiano pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda (kulia) kwenye ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii Mtumba Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki (kushoto) akitoa neno kwa  aliyekua Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda kwenye Kikao cha Menejimenti Kilichofanyika mapema leo kwenye ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zilizopo Mtumba Jijini Dodoma
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda akiwashukuru viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na watumishi wote wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ushirikiano waliompa wakati wa uongozi wake wakati wa Kikao cha Menejimenti kilichofanyika kwenye ofisi ya Wizara ya Maliasili na Utalii Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada ya Prof. Adolf Mkenda kuaga watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye  kikao cha Menejimenti kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara ya Maliasili zilizopo Mtumba Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...