Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, , leo Julai 29,2020 ameshiriki kwenye mazishi ya Rais Mstaafu wa
Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika katika
Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akiweka shada la maua Juu ya Kaburi wakati wa mazishi ya Rais
Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa
yaliyofanyika , leo Julai 29,2020 katika Kijiji cha Lupaso Wilayani
Masasi Mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akiweka Udongo kwenye Kaburi wakati wa mazishi ya Rais Mstaafu
wa Awamu ya tatu Hayati Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika , leo
Julai 29,2020 katika Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli wakati wa mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Hayati
Mzee Benjamin William Mkapa yaliyofanyika , leo Julai 29,2020 katika
Kijiji cha Lupaso Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...