Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana
na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja
alipowasili katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar leo
Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa
Magharibi Unguja.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Magharibi Unguja katika
ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Zanzibar leo Julai 02,2020.
Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja.


Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
MKoa wa Magharibi Unguja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao
katika ukumbi wa Kituo cha Utengamano Welezo Unguja leo Julai 02,2020.
Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Magharibi Unguja.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...