Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipata maelezo Kutoka kwa watoa huduma kutusu huduma ya Tigo pesa mapema leo. Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba .
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma mapema leo alipotembelea banda la Tigo patika maonesho ya sabasaba . Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba .
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipimwa Joto la mwili kabla ya kuingia katika banda la Tigo mapema leo ikiwa ni moja ya tahadhari ya Tigo kwa wateja wake.Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba .
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano Tigo Bw.Simon Karikari akipokea maelezo Kutoka kwa mtoa huduma mapema leo alipotembelea banda la Tigo patika maonesho ya sabasaba . Tigo inaendelea kutoa ofa kabambe za simu na vifurushi kwa wateja katika msimu huu wa sabasaba .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...