Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai
20, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Seif Shekilage kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Allan Kijazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.















Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...