Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma jana mara baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa jana wakati alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma mara baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya mazungumzo yao nyumbani kwake Chamwino mkoani Dodoma baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto
katika picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana
na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Mhe.Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
aliyeambatana na Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Mhe.Rais Dkt. Magufuli jana
mara baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...