
Mwanamuziki Zuchu maarufu “I AM ZUCHU” akiimba katika onesho lake la kwanza tangu aanze kuimba muziki lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhutiwa na mamia ya mashabiki wake.
Mwanamuziki Mbosso akitumbuiza katika onesho la Zuchu lililofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Msanii Zuchu (Kushoto) akiwa na Diamondplatnamz (Kulia) wakipiga picha ya pamoja kwenye Sanamu la Zuchu katika onesho la “Iam Zuchu” lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wapenzi wa Muziki na Mashabiki wa Zuchu , waliohudhuria Usiku ‘Special’ kwa ajili yake ,wakifurahia Performance zinazoendelea Juu ya Stage katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Muonekano wa Ukumbi kwa nje katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku
wa kuamkia leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Muonekano wa Lady Jaydee kwenye show ya Zuchu
Dayna Nyange akiwa kwenye red carpet katika show ya Zuchu Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Mwanamitindo
wa Kimataifa ndani na nje ya nchi ya Tanzania Flaviana Matata akiwa na
Mbunnifu wa mavazi mahiri nchini Ally Remtullah wakiwa wamepozi kwenye
red carpet,tayari kushuhudia usiku wa show ya “IAM ZUCHU”.
Khadija Kopa kwenye show ya Zuchu

Khadija Kopa kwenye show ya Zuchu
Msanii
na Mjasiliamali maarifu kwa jina la Shilole akifurahia jambo na Msanii
Mwenzake almaarufu kwa jina la Baba Levo wakato wa onesho kambambe ya
msani Zuchu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Wema Sepetu kwenye show ya Zuchu
Wema Sepetu kwenye show ya Zuchu
Muonekano wa Queen Darleen kwenye show ya Zuchu
Muonekano wa Zuchu kwenye show yake wapongezwa kila kona
Katibu
Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas
akisalimiana na Msanii Rayvanny katika onesho la Zuchu lililofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan
Abbas akisalimiana na Meneja wa Diamondplatnamz Salaam SK katika onesho
la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Mlimani
City jijini Dar es salaam
Katibu
Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas
akizungumzajambo na Msanii Nassib Abdul a.k.a Diamondplatnumz katika
onesho la 'I AM ZUCHU' lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Hassan Abbas
akizungumza na mashabiki mbalimbali waliohudhuria katika onesho la “Iam
Zuchu” lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City
jijini Dar es salaam. 






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...