Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa    akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Mkuu w Mkoa wa Songwe  katika eneo la Selewa wilayani Mbozi , Julai 6, 2020.  Wa tatu kulia ni  Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, wa pili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela na kulia ni Katibu Tawala wa mkoa wa Songwe, David Kafulila. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Songwe,  Eliniko Mkola na wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbozi,  John Palingo.
Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa  Songwe ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliweka  jiwe la msingi katika  eneo la Selewa wilayani Mbozi, Julai 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Songwe kabla ya kukagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, Julai 6, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika eneo la Selewa  wilayani Mbozi ,  Julai 6, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Brigedia  Jenerali Nicodemus Mwangela na kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa huo, David Kafulia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...