Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana
na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Jabir Shekimweri, wakati alipokuwa
anawasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya kushiriki Kikao cha Kamati ya Madini
ya Wilaya hiyo, leo. Kulia ni Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Obert
Mwalyego. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akisaini kitabu
cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, wakati alipowasili
Wilayani humo kwa ajili ya kushiriki Kikao cha Kamati ya Madini ya
Wilaya hiyo, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Mpwapwa, Obert
Mwalyego, wakati alipowasili ofisi ya Mkuu wa Wilaya kushiriki Kikao cha
Kamati ya Madini ya Wilaya hiyo, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo,
Jabir Shekimweri. Kulia ni Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Dodoma, Mchagwa
Marwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto),
akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Madini ya Wilaya ya Mpwapwa,
kilichofanyika Wilayani hapo, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo,
Jabir Shekimweri. Kulia ni Afisa Madini Mkazi, Mkoa wa Dodoma, Mchagwa
Marwa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...