Msimamizi wa  mradi wa ujenzi wa hosteli za Wanafunzi  kutoka Kampuni ya Suma JKT Injinia Issa Kanyaga  akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya kuhusu maendeleo ya mradi  wa ujenzi wa hosteli eneo la Maekani -Kampasi Kuu Morogoro.Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Albinus Mugonya (Mwenye kaunda suti nyeusi) akisalimiana na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe (Taaluma)  Prof. Ganka Nyamsogoro mara baada ya kuwasili chuoni hapo.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mhe. Albinus Mugonya akisaini kitabu cha Wageni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...