Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas wa tatu kutoka kushoto akifuatiwa na Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Songwe RPC George Kiando pamoja na maafisa wengine wa Jeshi la
Polisi Mkoa wa Songwe wakiwa Wilaya ya Momba wakikagua mpaka wa Tunduma
(Tanzania) na Zimbia.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas, katikati akionyeshwa jiwe la Mpaka wa Tanzania na
Zambia na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe RPC George kiando wakati
akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani huo leo .
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP
Liberatus Sabas katikati na kulia kwake vni Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Mapato katoka mpaka wa Tunduma Ndugu Hanangisia Mtasha, pamoja na
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe RPC George Kiando wakiwa katika picha
ya pamoja baada ya kumalizika kikao kazi hapo katika mpaka wa
Tunduma.(Picha na Jeshi la Polisi)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...