Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Maaskofu na Mapadre
kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya
utume wao walipotembelea ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara
ya mafunzo.
Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na
Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka
40 ya utume wao ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma wakiwa katika
ziara ya mafunzo.
Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watatu kushoto) akiwa katika maombi
maalum ya kuliombea Bunge yaliyotolewa na Maaskofu na Mapadre kutoka
Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao
nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akiongozana na Maaskofu
na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza
miaka 40 ya utume wao wakati wakiingia katika ukumbi wa Bunge Jijini
Dodoma kwa ajili ya mafunzo.
Baadhi
ya Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao
wametimiza miaka 40 ya utume wao wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Ndg.
Stephen Kagaigai (hayupo kwenye picha) wakati walipotembelea ofisi za
Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watano kushoto mbele) akiwa katika
picha ya pamoja na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa
Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao nje ya ukumbi wa Bunge
Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...