Mjasiriamali akiwa kazini jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Agosti, 2020.
Wajasiriamali wakiwa katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo tarehe 27 Agosti, 2020 wakiwa katika shughuli zao za kuwaingizia kipato kwa kuuza bidhaa mbalimbali kama wanavyooneka pichani.

(Picha zote na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
(Picha zote na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...