**************************************

WAZIRI wa ardhi Nyumba maendeleo na makazi WiliamU Lukuvi ameongoza mamia ya waombolezaji mkoani Iringa kumpumzisha aliyewahi kuwa Diwani na makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Onesmo Mtatifiko.

Mtatifikolo amefariki dunia usiku wa kuamkia August 27 katika Hospitali ya Ipamba wilayani Iringa alikokuwa akipatiwa matibabu na kuzikwa Agosti 29/2020.

Marehemu alikuwa mgombea wa udiwani kata ya Idodi tarafa ya Idodi wilayani humo,alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto 5 wa Mzee Julius Mtatifikolo, alizaliwa Juni 30/1873 na amefariki Agosti 27/2020 akiwa ameacha mjane na watoto 8 na mjukuu mmoja’’Bwana alitoa na bawana ametwaa jina lake lihimidiwe Amina.

Mazishi hayo yalihudhuriwa na viongozi wa Serikali,Dini,Vyama vya Siasa na wananchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...