Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga amerudisha fomu ya uteuzi kugombea ubunge katika Jimbo hilo kwa Mkurugenzi wa uchaguzi Sunday Deogratius.

Mkurugenzi huyo amezipokea fomu hizo na kuzikagua vipengele vyote na kusema kuwa vimejazwa kwa ufasaha
 Mgombea ubunge Jimbo la Ludewa Joseph Kamonga( kushoto) akijaza fomu ya maadili katika ofisi ya mkurugenzi wa uchaguzi wa Jimbo hilo. kulia ni mkurugenzi wa uchaguzi Sunday Deogratius
 Mgombea ubunge Jimbo la Ludewa Joseph Kamonga akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa uchaguzi Sunday Deogratius
 Mkurugenzi wa uchaguzi jimbo la Ludewa Sunday Deogratius akisaini fomu za mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Joseph Kamonga
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi jimbo la Ludewa wakikagua fomu za mgombea ubunge Joseph Kamonga
 Mgombea ubunge Jimbo la Ludewa Joseph Kamonga (kulia) akiwa na viongozi mbalimbali wa chama wakisubiri kuingia katika ofisi ya mkurugenzi wa uchaguzi kurudisha fomu za uteuzi
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ludewa wakiwa wamemsindikiza mgombea ubunge wa Chama hicho. Kutoka kushoto no mgombea ubunge Joseph Kamonga, katibu Bakari Mfaume, Mwenyekiti Stanley Kolimba na Mwenyekiti wa vijana Theopista Mhagama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...