Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) wakati alipofika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akizungumza jambo wakati wa mazungumzo yake na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (katikati) wakati alipofika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kushoto ni Afisa kutoka Idara ya Muungano (OMR) Cecilia Nkwamu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (katikati) akiwa katika mkutano wa pamoja baina yake na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) aliyefika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kulia (koti jeupe) ni Mkuu wa Mawasiliano HESLB, Omega Ngole.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (katikati) akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) aliyefika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kulia (koti jeupe) ni Mkuu wa Mawasiliano HESLB, Omega Ngole.(PICHA NA HESLB)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...